Rais Erdoğan awasili Sarayevo katika ziara yake Boznia Herzegovina

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan awasili mjini Srayevo katika ziara yake rasmi nchini Boznia Herzegovina

Rais Erdoğan awasili Sarayevo katika ziara yake Boznia Herzegovina

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amewasili mjini Sarayevo katika ziara yake rasmi nchini Boznia Herzegovina Jumapili. Katika ziara yake hiyo, rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ameshirikiana na  naibu waziri mkuu wa Uturuki Hakan Çavuşoğlu, waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu, waziei wa uchumi Nihat Zeybekci, waziri wa michezo, waziri wa utalii Numan Kurtulmuş, waziri wa uchukuzi na Ali Erbaş.

Rais Erdoğan amepokelewa katika uwanja wa ndege wa Sarayevo na mamia ya raia wa Boznia wakiwa na mabango ya kumkaribisha rais wa Uturuki.

Katika ziara yake hiyo rais Erdoğan amezungumza na shujaa wa vita vya Boznia Mujo Aganovic.

 

 Habari Zinazohusiana