Magaidi 10 wa kundi la PKK waangamizwa na jeshi la Uturuki Kaskazini mwa Irak

Magidi 10 wa kundi la PKK waangamizwa na jeshi la Uturuki katika operesheni yake Kaskazini mwa Irak

Magaidi 10 wa kundi la PKK waangamizwa na jeshi la Uturuki Kaskazini mwa Irak

Jeshi la Uturuki lafahamisha kuwaangamiza  magaidi 10 wa kundi la PKK katika operesheni yake ilioendeshwa kaskazini mwa Irak.

Taarifa hiyo imetolewa na makoa makuu ya jeshi la Uturuki katika tangazo lake lililotolewa mapema Jumatano.

Jeshi la anga la Uturukilimeendesha mashambulizi katika eneo la Avaşin-Basyan Kaskazini mwa Irak. Opresheni hiyo imepelekea wanamgambo 10 wa kundi la kigaidi la PKK  kuangamizwa.

 


Tagi: PKK , ugaidi , Irak , Uturuki

Habari Zinazohusiana