Wapalestina wanne wauawa na wengin 445 wajeruhiwa Ukanda wa Gaza

Wapalestina wanne wauawa na wengine 445 wajeruhiwa  mpakani mwa Israel na Ukanda wa Gaza

Wapalestina wanne wauawa na wengin 445 wajeruhiwa  Ukanda  wa Gaza

Wapalestina wanne wauawa na wengine 445 wajeruhiwa  na jeshi la Israel mpakani mwa Ukanda wa Gaza na Israel.

Wapalestina hao wameuawa wakiwa katika maandamano ya "kurejea" yanayoendeshwa mpakani wa Ukanda wa Gaza na Israel. Serikali ya Israel inawazuia wapalestina wanaotaka kurejea katika makaazi yao.

Jeshi la Israel limeruhisiwa kutumia risasi za moto kwa waandamanaji watakaosogea karibu na mpaka wake na Ukanda wa Gaza. Msemaji wa wizara ya afya wa Palestina Ashraf al-Qodra amesema kuwa mpalestina mmoa aliekuwa akifahamika kwa jina la Saad Abu Taha aliuawa Mashariki mwa eneo la Khan Yunis Ukanda wa Gaza.

 Habari Zinazohusiana