"Ulaya yagawanyika"

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameonyesha kuwa na hofu na mustakabali wa Umoja wa Ulaya.

"Ulaya yagawanyika"

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameonyesha kuwa na hofu na mustakabali wa Umoja wa Ulaya.

Akihutubia katika bunge la EU Strasbourg Macron ameonyesha wasiwasi wake wa kuwepo kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe kati ya nchi za Umoja wa Ulaya.

Ameitaka EU kuchukua hatua muhimu kuhusiana na suala hilo.

"Sio raia wanaoutelekeza Umoja wa Ulaya bali ni  viongozi wenyewe",alisema Macron.

Macron anaamini huu ndio muda muafaka wa Ulaya kulishughulikia suala hilo.Habari Zinazohusiana