Uturuki yawarejeshi wahamiai haramu kutoka Afghanistani

Wahamiaji haramu kutoka Afghanistani warejeshwa nchini mwao wakitokea nchini Iran

Uturuki yawarejeshi wahamiai haramu kutoka Afghanistani

Wahamiajşi haramu takriban 6846 kutoka nchini Afghanistan  waliokuwa nchini Iran  wamesafrishwa kutokea nchini Uturuki kuelekea nchini mwao.

Wahamijai hao wamesafirishwa na kurejeshwa nchini kwao baada kakamatwa. Kikosi cha Polisi kimeendesha pia operesheni dhidi ya wahamiaji haramu katika maeneo tofauti nchini Uturuki.

Wahamiaji hao  wamekamatwa  mkoani Erzurum, Agrı na İzmir. Wahamiaji hao  wamesafirishwa  kuelekea mjini Kabul nchini Afghanistani. Habari Zinazohusiana