Mauji ya silaha za kemikali nchini Syria

Uchambuzi wa  Can ACUN kutoka katika  shirika la  utafiti wa masuala ya kisiasa, uchumi na jamii SETA

Mauji ya silaha za kemikali nchini Syria

Mashambulizi mapya ya silajha a kemikali yalitekelezwa katika eneo la Duma nchini Syria katika eneo  Ghuta Mashariki ambapo  ni jambo ambalo liğnaonesha wazi kuwa  kuwa kşt6endo hicho kilikemewa kimataifa na kuhakikisha kuwa  vyombo vya habari vya kimataifa  vilimeizungumzia sula hilo  na kugonga vichwa vya habari ulimwenguni kote.

Uchambuzi wa  Can ACUN kutoka katika  shirika la  utafiti wa masuala ya kisiasa, uchumi na jamii SETA

Ila kwa bahati mbaya idadi kubwa ya raia wanaoathirika katika mashambulizi hayo ni watoto na wanawake. Watoto na wanawake ndio wanaothitika katika mashambulizi hayo ya kinyama.  Uchunguzi wa kwanza unaonesha kuwa  kulitumika silaha za kemikali. Ghuta Mashariki  ni eneo ambalo linamilikiwa na wapinzani  tangu kuanza  kwa mapigano nchini Syria. Eneo hilo limekuwa likishambulia mara kwa mara na  jeshi la serikali .  Eneo hilo linashambuliwa  kutokana na uwepo wake katiğka eneo la kimakakati. Katika kipindi cha miezi kadhaa  , hospitali, shule na miskiti  mara kwa mara vilikuwa vikishambuliwa na jeshi la serikali.

Kuna umuhimu mkubwa  kwa serikali kudhibiti eneo la Ghuata Mashariki  kwa kuwa ni eneo la kimkakati ambalo linatishia  moja kwa moja serikali kutoka na eneo ambapo  Ghuat inapatikana.  Eneo hilo Damaskas ni eneo la kimkakati.  Seikali inaendesha  operesheni za kusafisha eneo hilo.  Eneo hilo limewekewa vikwazo na serikali kwa kipindi kirefu vbila ya kujali  waathirika tangu kuanza kwa vita .

llicha ya kuwa katika eneo ambalo kulisainiwa  kusitishwa mapigano  katika mikutano ya Asatana kwa ajili ya Syria. Mikutano hiyo iliafanyaika kwa ushirikiano bain aya Uturuki , Urusi , washirika na Iran pia. Kulianzishwa pia mashambulizi ambayo yalidaiwa kuwa na lengo la kukabiliana nakundi la wanmagambo na makundi mengine ya magaidi katika ukanda.   Seikali na washirika wake  Iran na Urusi walaizna kulenga  kwa mashambulizi wakidaid kuwa ni mapambano dhidi ya makaunfi ya kigaidi katika ukanda.  

Kufuatia msahmbulizi makubwa, wapinzani walilazimika kushiriki katika mazungumzo yalioongozwa na Urusi na kuanza  kuwaondoa na kuelekezwa Kaskazini mwa Syria.

Mji wa Duma Ghuata  Mashariki ulidhibitiwa  mara ya mwisho na  wanamagmbom wa Daesh na kuondolewa kwao baada ya makubalişano. Urusi  ulikuwa kama mpatanaishi  baina   ya serikali na  wanagambo wa makundi ya waasi.

 Katika makubaliano  yalioasiimamiwa na Urusi,  jeshi lainalodai kuwa jeshi la kiislamu lilitakiwa kuwa kama jeshi la Polisi  na kuhakikisa usalama na kuwa kama kokosi cha kulinda usalama.

Ila makubaliano hayo yalitupiliiwa mbali na serikali ya Syria. Mazungumzo  hayo yalisimamishwa wakati jeshi  hilo  lililpogoma  kuondoka  katika mji wa Duma.   Kufauti jambo hilo mashambulizi kwa kutumia silaha za kemikali   yaliendeshwa  dhidi ya mji huo.  Raia  wengi walifariki kutokana na  sumu kali  ya silaha hizo. Jeshi hilo  lilikubali  kuondoka  kaskazini mwa Syria kutokana na mashambulizi hayo ambayo  yaliendeshwa kwa  kutumia  silaha za kemikali.  Kwa upande   mmoja  kubakia katika eneo hilo kuliathiri kiasi kikubwa kutoka na  mashambulizi hayo ya kemikali.

Kwa upande mwingine jeshi hilo la kiislam linalodai kuwa jeshi la kiislamu lilikubali kuondoka kwa ombi la raia baada ya kuokopa na kutishwa na  silahaz akemikali  ambapo mashambulizi yaliendeshwa siku iliopita.  Hali hiyo ilipelekea seriakli ya Syria  kuwaondoa  wapinzani katika eneo hioo  karibu na mjim wa Damaskas.

Iwapo makubaliano ya kuwaondoa wapinzani  yasingeendeshwa , gharama za operesheni ya kijeshi kwa kuudhibiti mji wa Duama  zingekuwa kubwa mno.  Kulikuwa na jeshi hilo ambalo pia lilikuwa na sillaha nyingi ambazo zilihitajika  kuondolewa katika ghala za silaha ambazo  zingepekwa Duma.

Kwa upande mwingine jeshihilo liliweka kando waasi na wapinzani wa Syria  na umiliki wake wa silaha.  Ulinzi wa Duama katika eneo aambalo lilikuwa chini ya vikwazo, jeshi hilo lililkuwa na wapiganaji wengi lingesumbua utwala wa Syria.  Serikali ya Syria iliathirika kwa kiasi kikubwa kwa hasara  katika operesheni  ambazo zilichukuwa muda mrefu  Darayya kama iliivyokuwa Duma. Serikali ya Syria  inatambua vema kuwa matumizi ya sialahaz akemikali ni ukiukwaji wa haki za binadamu na sheria za kimataifa. Ila mashambuliz hayo yalikuwa na manufaa kwa serikali ya Syria.

Matumizi ya sialha za kemikali yalioendeshwa na  serikali ya Syria  hayakupelekea  jumuiya ya kimataifa kusimama.  Hali iliopelekea matumizi ya siliaha za kemikali  ni  suluhu la haraka na lililokuwa na gharama kwa uongozi wa Syria.  Serikali ya Syria imetumia zaidi y a mara  215   silaha za kemikali tangu kuanza kwa mapigano nchini Syria na kuonekana kupuuza maazimio ya  kimataifa.

Kwa upande mwingine  serikali ya Syria inategemea  kuungwa kwake mkono na Urusi na kuwa ikitumia sialaha hizo ikitegemeia kuwa Urusi inakuwa ikiilinda. Syria inaona kuwa suluhu ni kutumia silaha za kemikali  Duma.

Uchambuzi wa  Can ACUN kutoka katika  shirika la  utafiti wa masuala ya kisiasa, uchumi na jamii SETA

 

 

 Habari Zinazohusiana