Mzatamo

Kutoka Chuo Kikuu ch Ankara Yildirim Beyazit kitengo cha Sayansi za Siasa Dr. Kudret BÜLBÜL anazungumza kuhusu suala hilo

Mzatamo

Kama alivyosema Abraham Lincoln "Unaweza kupumbaza baadhi,lakini huwezi kudanganya wote”.Ukweli utabaki palepale tu.

 Vyombo vya habari vya Magharibi vinajaribu kulitangaza  kundi la kigaidi la PKK / PYD kama kundi la watu wanaopigania uhuru . Kwa mujibu wao, kundi hili linawakilisha jamii ya Wakurdi. Mapambano dhidi ya kundi hilo yanaonekana kama mapamabano dhidi ya wakurdi.Kumekuwa hata na msaada  unaotolewa kwa kundi hilo dhidi ya operesheni ya tawi la mzaituni ya Afrin nchini Syria.Na kwa bahati mbaya habari kama hizi zinatangazwa pia na vyombo vya habari kama Al Jazeera.

Kutoka Chuo Kikuu ch Ankara Yildirim Beyazit kitengo cha Sayansi za Siasa Dr. Kudret BÜLBÜL anazungumza kuhusu suala hilo ...

Mashirika ya kigaidi ya Kikurdi yanayofanya utakaso wa kikabila

Hata hivyo, PKK imefanya na inaendelea kufanya uovu mkubwa kwa Wakurdi. Ni zaidi ya wakurdi elfu arobaini wamepoteza maisha yao kutokana na amshambulizi ya PKK.Kundi hilo limekuwa likisafisha wakurdi wote ambao hawafuat na kuendana na itikadi za Marxist/Leninist za ugaidi.

Ndio maana mamilioni ya watu kutoka Uturuki ya mashariki na kusini mashariki mwa Uturuki upande wa magharibi, hasa wamehamia Istanbul. Istanbul umekuwa ni mji ambao una idadi kubwa ya wakurdi wanaoishi nchini Uturuki.Watu amabo walitoroka ugaidi wa PKK Iraq na eneo la wakurdi nchini Syria.

Zoezi hilo la PKK kusafisha makabila ya wakurdi kutokana na tikadi zao za ugaidi linaendelea nchini Syria.Mshirika wa PKK,PYD ni kundi linalotumika kujenga hofu likisaidiwa na Marekani.Ugaidi unataka kusambazwa kuanzia ukanda wa bahari ya Mediterranean mpaka mipakani mwa Uturuki.  Kutokana na jambo hili wakurdi wengi wamekuwa wakikimbilia Uturuki kutafuta hifadhi.

Na Wakurdi hawaungi mkono ugaidi wa kundi hilo.PKK huonekana kama mwakilishi wa wakurdi kama vile Hitler anavyoonekana mwakilishi wa wajerumani,sawa na Mussolini kuwa mwakilishi wa Italia.

"Kwa nini wakurdi hawana taifa "?

Swali hilo mara kwa mara huulizwa katika vyombo vya habari vya magaribi kwa vijana kutoka jamii ya wakuridi ila wale wanaouliza swali hilo  huwa hawajiulizi maswali kama: kwanini marekani kuna majimbo 50 na jamii tofauti  zilizotofauti kitamaduni na rangi hazina jimbo maalumu ? Magharibi huunga mkono makundi yote ambayo yanaonekana kuwa na melengo ya kujitenga Masharik ya Kati  ila  haiungi mkono  vuguvugu linalodai uhuru wa Catalogne Uhispania. Ujerumani  imemzuia kiongozi wa wanaharakati  wa Calaogne Carles Puigdemont ambapo hana hutuhu ya kushiriki wa kuhusika na kitendo chohcote cha kigaidi.

Swali sio kuwa kila  jamii kuwa na taifa, ila  jambo ambalo linashuhdiwa na kugawanya na kusambaratisha kisiasa.  Edmund Burke alikebehi mapinduzi ya Ufaransa na kusema kuwa maneno mazuri ndio yenye maslahi.

Ikiwa ni suala muhimu ambalo linahusu kila taifa, katika ukanda tayari kwa muda mrefu hilo limekwisha shuhudiwa zaidi ya mara moja.

Katika wakati wa vita vya msalaba kulikuwa na idadi kubwa  na vitongoji. Jamii tofauti pamoja na waturuki, wakurdi na waarabu zilikuwa zimejigawa. Ni kipi ambachokilitokea katika mgawqanyika huo hakukuepo  hata eneo moja ambalo lilikuwa la kiislamu ambalo halikuwa limekaliwa. Kwa sababu yeyote ile  katika mgawanyşko huo kwa wale waliokuwa wamenzisha mgawanyiko huo kuchukuwa uamuzi wa kusitisha hilo.  Kuna zaidi ya miaka na mikaka. Licha ya pingamizi la wenggi  jamii ya waarabu  ilijipata katika  mfumo kama hu ona kushawishika na Magharibi.

Kwa sasa kuna mataifa 23 ya kiarabu.  Mpango kuhusu mgawanyiko nchini Irak, Syrian a katika baadhi ya mataifa ya Ghuba ulishuhudiwa. Kama inavyooneshwa  hali halisi, wakaazi Mashariki ya Kati wapo katika kipindi ambacho wanaonekana kuwa dhaifu na kutotambua historia yao.

Wakati ambapo  hali hiyo ikishuhudiwa, wakaazi wa Mashariki ya Kati wakiwe wakudri kulitakiwa kujadiliwa muungano na ushirikiano, umoja na kuweka pembeni ugawanyiko.

Wakurdi wasikuwa na imani yeyote ndio wakudri wanaohitajika na bora?

 Katika vyombo vya habari vya Magharibi, makundi ya wakurdi ambayo yanajitangaza kuwa makundi yasiokuwa na imani yeyote yanaungwa mkono na kupata ushirika na usaidizi.

Uislamu na ugaidi vinawekwa sambamba , wakurdi wasikuwa na imani au ambao wamelamika kutokuwa na imani wanachukuliwa kwa wenye kuleta uokozi na mwangaza.  Hali hiyo yakuweka mbele maslahi imechukuliwa kwama  suluhu. Hali hiyo si lolote wala chohote bali tondo iliodhahiri na maigizo.  Tufahamu kuwa vita kuu mbili za dunia ambazo zilipelekea maafa makubwa ulimwenguni  makundi yanayodai kuwa hayana imani yalikabiliana na  mitazamo au makundi yaliokuwa na mitazamo ambayo ilkuwa haina imani.

 Kwa ndani undani zaidi kuwa na imani na kutokuwa na imani ubepari hauna imani yeyote ile.  Hivyo basi tunaweza kusema kuwa Magharibi kutoa usaidizi kwa wnamgmbo wa kundi la PKK  sio kutokana na kwamba kundi hilo linadai kutokuwa na imani ila kutokana na kwamba kundi hilo linapelekwa kama watakavyowafadhili wake wa Magharibi. Kundi hilo lipo chini ya umiliki wa wafadhili wake.

Kwa upande mwingine , taifa ua shirika lolote lile  likiwa bila imani au laa, taifa ambalo limetupilia mbali ushirikianno katika jamii, kitamaduni na kiimani  na kupokea tamaduni za kigeni linatakiwa  kufuata mwenendo wa ubepari utoka Magharibi na kuchukuliwa kama mfano bora.

Kwanini haya yanashuhudiwa ?

Inafahamika kuwa historia hujirudia iwapo fundisho halikutiliwa manani.  Wakati uliopo ni kioo cha wakti ujao na wakati uliopita ni  kioo cha wakati  uliopo.

Katika historia  Mashariki ya Kati matabaka matatu  yanayounda eneo hilo ni jamii ya wakurdi, waarabu na waturuki. Na jambo muhimu kwa jamii hizo kuungana na kuwa kitu kimoja kwa kuwa mgawanyiko wao umepelekea maumivu na mateso, dhulma, ubepari mauaji. Hali hiyo imetoa fursa kwa maaduia kuweza kuweka ngome zao na kundesha harakati zao za uharibifu.

Umoja kati ya jamii ya wakurdi na waarabu uliweza kuzuia vşta vya msalaba vilivyokuwa vikilenga eneo la Mashariki ya Kati.  Umoja huo ulipelekea  kukombolewa kwa jiji la Jerusalemu ambayo ilikuwa imekaliwa kimabavu. Ukombozi hupo uliongozwa na kamanda kutoka katika jamii ya wakurdi Salahhaddin Ayyub na kurejesha utulivu katika ukanda.  Kwa sasa Magharibi  inajaribu kwa mara nyiğngine  kile ambacho ilitenda.

Magharibi inajaribu kuondoa jamii moja na kutra kuitenga ikiwa ni moja ya jamii zilizopeperusha bendera ya uislamu ambapo katika kipindi hicho  zilizkuwa zikiishi pamoja kwa muda mrefu katika ardhi moja kwa ushirikiano na mshikamano.

Ni kwa hali hiyo wanajaribu kutumia jamii ya wakurdi kuendesha mashambulizi na kuhakikisha kuwa ubepari unapata nafasi .  kundi la wakrsito na waarmenia Mashariki ya Kati yalijaribu  kuchukuwa nafasi ya  ubepari katika vita vya msalaba.

Kwa sasa ni wazi kuwa Israel ndio inayoendesha mfumo na harakati kama hizo katika ukanda.  Ila kwa mara ya kwanza inataraji kutumia jamii na makundi ya kiislamu katika ukanda ili kuendesha mashambulizi ya kibepari na mtazamo wa kimsalaba  uliofikiwa  katika mataifa fulani. Ni kwa malengo hayo wanataka kuendelea na makundi ya kimarxist/Lenine  ya kikurdi.

Inarubuni kuwa ipo katika mapambano dhidi ya wanmagambo wa kundi la Daesh. Ila lengo maalumu ni kuunda jamii ambayo itauza friji kwa  jamii ya ”Eskimo” jamii ambayo inatambulika kuwa inaishi katika eneo ambalo baridi yake haina mfano.

Kutoka Chuo Kikuu ch Ankara Yildirim Beyazit kitengo cha Sayansi za Siasa Dr. Kudret BÜLBÜLHabari Zinazohusiana