Mashujaa wa vita vya Afrin na operesheni ya Tawi la Mzaituni

Mashujaa wa vita vya Afrin na operesheni ya Tawi la Mzaituni, Kipindi chetu  kimetaarishwa na Can ACUN  kutoka katika  shirika la SETA shirika ambalo linahusika na masuala ya kisiasa, uchumi na msuala ya jamii anatafafanulia  hali hiyo ya Syria na mashuja

Mashujaa wa vita vya Afrin na operesheni ya Tawi la Mzaituni

Baada ya mapigano kuonekana kumalizika Afrin kufuatia operesheni ya Tawi la Mzaituni ilioanzishwa na jeshi la Uturuki Afrin kwa lengo la kuwaondoa magaidi katika mipaka ya Uturuki na Syria  raia kutoka katika eneo hilo wamenza kurejea katika makaazi yao.  Jamii ya wakurdi katika eneo hilo, jamii ambayo magaidi wa kundi la PKK/YPG wanadai kuttetea maslahi yao pia walionekana kukimbia uhalifu wa magaidi hao.

Hali ya ubaguzi ilioshuhudiwa katka mataifa tofauti  kufautia wimbi la wakimbizi katika mataifa tofauti ulimwenguni barani Ulaya na Marekani, wakimbizi kutoka Syria kwa sasa wameanza kurejea katika taifa lao.

Kipindi chetu  kşmetaarishwa na Can ACUN  kutoka katika  shirika la SETA shirika ambalo linahusika na masuala ya kisiasa, uchumi na msuala ya jamii anatafafanulia  hali hiyo ya Syria na mashujaa wa operesheni ya tawi la mzaituni.

Operesheni hiya Tawi la mzaituni  baada ya kumalizika kwake na kuwaondoa magaidi , Uturuki imewapokea wakşmbizi kutoka Syria ambao kwa sasa wameanza kurejea katika makaazi yao baada ya wanjeshi wa Uturuki kwa ushirikiano na jeshi huru la Syria.

Kulingana na takwimu ambazo zimetolewa ni kwamba  wakimbizi zaidi ya 200 kutoaka Syria waliokuwa wamekimbia Uturuki wamekwisha rejea nchini Syria. Wakimbizi hao wameanza kurejea Syria baada ya jeshi la Uturuki kuwa Afrin imekwisha kombolewa.

Raia waliondaolewa Damascus  na maeneo tofauti ambayo yalikuwa  chini ya utawala na jeshi la Assad, waliwasili  Kaskazini mwa Aleppo  na kuondolewa vitisho vya magaidi. Kwa upande mwingine  raia walitoroka uhalifu na ukatili wa magaidi katika maeneo tofauti  nchini Syria  waliondoakka katika maeneo  yaliokolewa  katika opereshene ya Efratia. Uturuki hailindi tu usalama katika mipaka yake  katika operesheni yake  ilioendeshwa Syria.

Jeshi la Uturuki ni linatoa matumaini ya maisha  ya usalama  kwa raia wa Syria. Kwa mfano  tunafahamu kuwa raia walilazimika kuondoka katika maeneo ya  Tabka, Raqqa na Deira Zor kufuatia operesheni za kijeshi za Marekani na magaidi wa kundi la PKK/TPG au raia waliolazishwa kuahama makaazi yao na PKK/YPG. Raia waliaolazimika kuondoka katika makaazi yao na magaidi wa kundi hilo la kigaidi walirejea katika makazi yao na kuanza maisha mapya katika maeneo yalikombolewa na wanajeshi wa Uturuki katika operesheni ya Efratia.

Hakuna haja kwa raia kurejea katika maeneo ambapo Marekani imetaarisha nafasi kwa  ajili ya wanamgambo wa kundi la kşgaidi la PKK/YPG.  Marekani inafanya hivyo kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi. Licha ya kuwa eneo hilo kuwa chini ya udhibiti wa wanagambo wa kundi la kigaifi la PKK/YPG kwa ushirikiano na Marekani ni eneo kubwa kuliko  eneo ambalo  limekombolea katika operesheni ya Efratia. Raia wanaona bora  kuondoka katika eneo hlo na  kuhamia uhamisho au  kaskzini mwa Aleppo. Kwao bora kuondoka moja kwa moja katika eneo hilo.

 Hali hiyo maeneo muhimu kama Homs, Zabadani, Darrayya au Aleppob  chini ya udhibiti wa  Urusi ma utawala wa Syria , mauaji yanaendelea na miji hiyo kuwa miji isiokalika.

Eneo pekee ambalo raia walirejea Syria ni eneo ambalo lilikombolewa na operesheni ya Efratia. Eneo la Afrin  kukombolewa na operesheni ya Tawi la Mzaituni , eneo hilo litakuwa pia  eneo ambalo raia na wakimbizi kutoka Syria watarejea  kuishi kwa amanai na usalama.

Watu zaidi ya 100 000 waliondolewa katika makaazi yao na wanmagambo wa kundi la kigaidi la PKK/YPG wa Tall Rifaat na maeneo mengine, wanaishi katika maeneo yaliokombolewa baada ya operesheni ya Efratia. Wakaazi wa Tall Rifaat wanaotaraji kurejea kurejea  katika makaazi yao walikuwa wakiandaa maaandamano  ambayo waliomba Uturuki  na jeshi huru la Syria kuanza operesheni ya kusafisha eneo la Tall Rifaat  na maeneo mengine jirani vitisho na uharibifu  wa kundi la kigaidi la PKK/YPG.

Uturuki kama jimbo kwa ombi  hilo imeanza mikakati muhimu ili kuhakikisha kuwa  raia  wa Tall Rifaat wanarejea katika makaai yao.

Kwa mfano  mjadala kuhusu wakimbizi kutoka Syyria Ujerumani, ni moja ya maja  ambazo huganga vichwa vya habari nchini humo. Mjadala huo hususan katika  chama cha mrengo wa  kulia cha AFD.  Chama hicho kinapinga  uwepo wa wakimbizi kutoka Syria  nchini Ujerumani , chama hicho hakiridhishwi na  Ujerumani kuto ahifadhi kwa wakimbizi kutoka Syria.

Kutokana na jambo hilo tume kutoka katika uongozi wa chama hicho ilijielekeza nchini Syria kufanya mazungumzo na uongozi wa Assad  ili kufikia hatua ambayo ingelepeekea wakimbizi kutoka Syria kurejeshwa Syria kkwa nguvu bila ya kujali uhatari katika makaazi yao na maeneo ambayo bado kuripotiwa kila kukicha mapigano na mashambulizi.

Hali hiyo katika jamii ya wajerumani imeonekana kutokuungwa mkono  ikisema kuwa inaghofu kubwa iwapo wakimbizi kutoka Syria watajerea nchini humo, nchi ambayo hadi sasa bado haijaonesha muelekeo licha ya mikutano kufanyakia kwa lengo la  kıutataua mzozo uliopo kwa zaidi ya miaka sita sasa. Wajarumani wanadhani kuwa wakimbizi kutoka Syria watakuwa katika hali isiokuwa ya usalama iwapo watafikia katika maeneo yanayodhibitiwa na jeshi la serikali ya Assad.  

Serikali ya Assad  anawachukulia wakimbizi kama wasaliti walioraliti taifa la Syria. Ni kaisi gani hali inaonesha kuwa  ni kinyume na thamani ya ubinadamu. Wakimbizi na raia wanaejea kwa hiari yao  katika majumba yao  baada ya jeshi la Uturuki kufaulu kuwandoa  magaidi katika maeneo ambayo  yalikuwa yakidhibitiwa na amakundi ya kşgaidi. Jeshi la Uturuki linahakikisha kurejea kwa usalama na ndipo lina linatoa ruhusu kwa wakimbizi kurejea katika makaazi yao. 

 Vili vile uwezekano wa kuanzishwa kwa operesheni Sinjar kwa lengo pia la kuwaondoa magaidi  wa kundi la PKK Irak  itapelekea raia kurejea katika  katika majumba yao.

Jamii ya yazidi ililazimika kuondaka katika makaazi yao kwa kuhufia mashambulizi ya wanamgambo wa kundi la Dsesh Sinjar. Ni wazi kuwa uwepo wa wanamgambo wa PKK katika eneo hilo unazuia  jamii hiyokurejea  katika majumba yao.


Tagi: Afrin , Uturuki , Syria

Habari Zinazohusiana