Uchaguzi Urusi, vita vipya baridi na Uturuki

Kutoka katika chuo kikuu cha baba wa taifa cha Atatutk, kitengo cha ushirikiano wa kimataifa na Daktari Cemil Doğaç İpek…

Uchaguzi Urusi, vita vipya baridi na Uturuki

Nchini Urusi kumeandaliwa uchazguzi ambapo watu zaidi mamilioni  walimwagika katika uchaguzi mkuu. Katika kipindi cha kampeni za uchguzi nchini Urusi, Uingereza  inaituhumu Urusi kufuatia kifa cha jasusi wa zamani wa Urusi Sergey Skripal na bintiye waliouawa mjini Londo. Uingerezza inaituhumu moja kwa moja Urusi kuhusika na kifo hicho

Leo katika kipindi chetu tutazungumzia kwa unadani kuhusu  ushirikiano uliopo baina ya Urusi na Uturuki katika kipindi chetu.

Kipindi chetu kimetaarishwa  kutoka katika chuo kikuu cha baba wa taifa cha Atatutk, kitengo cha ushirikiano wa kimataifa na Daktari Cemil Doğaç İpek…

Maelfu ya raia wa Urusi yalipiga kura kumachaguwa rais mpya Machi 18 mwaka 2018 ambapo rasi Vladimir Puti ameibuka mshindi .  wakati ambapo tulikuwa katika mataarisho ya makala yetu nusu ya masanduku ya kura yalikuwa yamekwşsha hesabiwa na rais Putin alikuwa akiongozi tayari kwa asilimia 75 ya kura. Baada ya kuhesabiwa kwa kura rais Vladmiri Putin aliibuka mshndi na kutangazwa kuwa rais wa Urusi   atakaeongoza kwa kipindi kingine chaa muda wa miaka 6 ambacho ni mhula wake wa nne.

Wakati huo huo seriakli ya Uingereza kupitia waziri wake mkuu Theresa May alihutubia bunge na kufahamisha kuwa Urusi inahusika na kifo cha Sergey Skripal amabe aliuawa pamoja na binti yake mjini  London nchini Uingereza.  Hali hiyo ineonesha kuwa mvutano mpya kati ya Urusi na Magharini umeibuka.

Mabadiliko makubwa  yameshuhudiwa katika mvutano  uliopo bain aya mataifa ya Umojwa Ulaya na Urusi na mataifa ya Magharibi.  Sumu ya kusababisha kupooza misulu  ilitumiwa  kwa mara ya kwanza barani Ulaya  baada ya vita vya pili  ya dunia. Shambulizi hilo  ni ujiukwaji  mkubwa wa makaubaliano ya kimataifa  yalisainiwa  kuhusu matumizi ya  silaha za kemikali  ambapo Uingereza ilitoa kipau mbele.

Katika tamko la pamoja, Uingereza na Marekani  ikiwemo pia Ujerumani  walikemea kitendo hicho. Jambo hilo limeonesha kuwa Magharibi imeguswa kwa kiasi kikubwa na kitendo hicho ambacho ni shambulizi la kukemewa.  Kutokana na na matamshi ya waziri mkuu wa uİngereza Bi Theresa May, Urusi imejibu  suala hilo na kusema ya kwamba na kitendo cha kuigizwa.

Kulingana na mtazamo wa wataalamu , matamshi yaliotumiwa na Urusi ni chaguo lake  kwa kuwa Uingereza na shirika lake la uajasusi  ma MI-6 linalopatikana mjini London Cambridge-Circus » na ndioa maana  MI-6 inatambulika kwama  « circus » ikiwa na maana eneo la kufanyia maonesho.

Kwa upande mewingine Urusi na seriakli yake inafahamisha kuwa tukio la kupewa sumu na kufariki ni kitendo ambacho kimeratibiwa na kuandaliwa na idara ya ujasusi ya Uingereza.  Hali ya mvutano ya hapo awali ingeweza kupunguza  migogoro iliokuwepo bain aya Urusi na mataifa ya Magharibi.  Iwapo  vikwazo dhidi ya Urusi vitaongezeka basi  hali hiyo itapelekea Uturuki ambayo inashirikiana na Urusi kuwa chini ya shinikizo kutokana na  ushirikiano huo katika sekta ya ulinzi na nishati. 

Uturuki inaweza kujipata katika hali ambayo italazika  kufuta mikataba yake na Urusi kuhusu ununuzi wa mfumo wa kujihami na makaombora uliosainiwa bain aya Uturuki na Urusi kuhusu S-400, mkataba wa kusafirisha gesi asilia Tğrk Stream na kinu cha nyuklia na kituo chake cha Akkuyu. Uturuki inatakiwa kuwa tayari na shinikizo kutoka Magharibi kutokana n ushirikiano wake na Urusi.

Ni wazi kuwa uvumş wa vşta baridi katika ukanda bain aya Urusi na Ulaya umekwsha ibuka.  Kutokana na hali hiyo ni kipi  kinaweza kutokea katika ushirikiano bain aya Uturuki na Urusi ? ushirikiano baina ya Uturuki na Urusi upo katika hali ya kuridhisha na ilioimatrika. Ushindani katika sekta tofautibaina  ya Uturuki na Urusi  kimkakati pia unashuhudiwa.  Licha ya kuwa na ushindani huo,, ushirikiano bado unaendelea.  Mataifa hayo mawili  yanaonekana kuzidi kuimarisha ushirikiano tangu kumalizika kwa vita  baridi.

Ushirikiano baina ya Uturuki na Urusi umechukuwa nafasi kuwa katika sekta tatu muhimu ikiwa pamoja na sekta ya nishati na mradi wa Türk Stream, ulinzi katika jeshi ambapo Uturuki imesaini na Urusi kununua mfumo wa kufihami na makombora  S-400 , operesheni ya twai la mzaituni nchini Syria.

Kuhusu suala zima la Syria, ikiwa Uturuki ni mwanachama wa NATO,   ilikuwa katika vitisho vya makombora na kuwekwa na mfumo wa kujilinda wa NTO uliwekwa baada ya muda .  Uhispania na Italia ziliondoa  makombora yao ya kuzuia makombora kutoka kwa maadui.

 Habari Zinazohusiana