Jeshi la Uturuki laingia mjini kati Afrin Syria

Jeshi la Uturuki katika operesheni yake ya Tawi la Mzaituni limeingia mjini kadi Afrin nchini Syria

Jeshi la Uturuki laingia mjini kati Afrin Syria
Jeshi la Uturuki langia mjini kati Afrin nchini Syria
Jeshi la Uturuki langia mjini kati Afrin nchini Syria

Jeshi la Uturuki katika operesheni yake dhidi ya ugaidi ilioanzishwa Afrin nchini Syria limeingia mjini kati  humo  na kupandisha bendera ya Uturuki ikiwa ni ishara ya kuwaondoa magaidi katika eneo hilo.

 

Jeshi la Uturuki katika operesheni yake dhidi ya ugaidi limeingia Afrin na kupandisha bendera ya Uturuki baada ya kuwaondoa magaidi.Habari Zinazohusiana