Ömer Çelik akemea wito wa Umoja wa Umoja wa Ulaya kuhusu Afrin
Ömer Çelik na wito wa Umoja wa Ulaya kwa jeshi la Uturuki kuondoka Afrin katika operesheni yake dhidi ya ugaidi

Waziri wa Uturuki anaehusika na masuala ya Ulaya na mpatanishi Ömer Çelik amekemea vikali wito uliotolewa na nbaraza la bunge la Umaoja wa Uyala kwa Uturuki ukiitaka Uturuki kuondoa jeshi lake Afrin nchini Syria.
Ömer Çelik amesema kuwa wito wa kuondoka Afrin ni wazi kuwa Uturuki inatakaiwa kuacha kupambana na ugaidi na magaidi wa PKK wanatishia usalama na uturulivu wa Y-Uturuki.
Umoja wa Ulaya umelipa nafasi kundi la kigaidi la PKK Ulaya kwa kuendesha mashambulizi dhidi ya Uturuki tangu mika 20 iliopita.
Kundi la la PYD/YPG ni kundi la kigaidi kama lilivyo kundi la PKK na tawi lake la YPG. Wito wa Umoja wa Ulaya unaunga mkono ugaidi.