Stephen Hawking aaga dunia akiwa na umri wa miaka 76

Mwanafizikia Stephen Hawking afariki  dunia akiwa na umri wa miaka 76

Stephen Hawking aaga dunia akiwa na umri wa miaka 76

Mwanafizikia  Prof  Stephen Hawking mwenye asili ya uingereza anefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.

Mwanafizikia huyo anafahamika vema katika ulimwengu wa sayansi kwa kazi zake alizofanya kuhusu anga.

Mwanafizikia huyo  katika kazi zake na utafiti alifahamisha kuwa  angani  kuna mvutano  wa hali ya juu  kiasi kwamba mwango kuawezi kujipenyeza.

Mwanafizikia huyo alizaliwa Januari 8 mwaka 1942 Oxford nchini Uingereza.Habari Zinazohusiana