Msimamo wa Umoja wa Mataifa ya kiarabu kuhusu mzozo wa Syria

Uchambuzi kutoka kwa mtaalamu wa masuala ya kidiplomasia İsmail Numan Telci ulipeperushwa na kituo cha Anadolu

Msimamo wa Umoja wa Mataifa ya kiarabu kuhusu mzozo wa Syria

Mashirika ya kimataifa  yalianza  kuwa na usahawsihi  na kuwa na umuhimu  ulimwenguni baada ya kumalizika kwa vita vya pili vya dunia.

Umoja wa mataifa ya kiarabu uliundwa mwaka 1945 kwa lengo la kupambana  na matatizo  yaliukuwa yakijitokeaza na kuwa na mtazamo mpya katika matukio tofauti katika historia mbayo Umıoja huo ulishindwa kuwaibika katika kutafuta suluhu. Umoja huo ulishindwa kwa muda wa miaka mingi kutatua mizozo ambayo ilikuwa ikijitokea.

Sababu za kuwepo kwa Umoja wa Mtaifa ya Kiaranbu  ilikuwa ni kuhakikisha  kuaptia suluhu matatzo ambayo yalikuwa yakijitokeza katika ukanda.

Licha ya kuwa malengo hayo ya kulekea utatuzi wa matatizo yaliokuwa yakijitokeza hakuna matunda yalioonekana kisiasa, kiuchumi wa kitamaduni. Jambo linapekea kujiuliza maswali.

Muungano wa mataifa ya kiarabu haukuweza  kukaa chini na kujadili mbinu ili kufikia hatua ya kutatua mzozo uliopo bain aya Israel na Palestina. Umoja huo hadi leo badou po kimya  bila ya kukemea kukaliwa kimabavu ardhi ya wapalestina na Israel vil vile na mzozo Ghuba mwaka 2017.

Tunaweza kutaja pia moja ya mizozo katika mataifa ya kiarabu ambayo Umoja wa mataifa ya kiarabu umeshindwa kupatia suluhu. Umoja huo umekuwa na udhaifu huku ukitazama mauaji yanayoendelea nchini Syria na mamia ya raia yakizidi kupoteza maisha.

Maelfu ya raia yamelazimika kuhama makaazi yao kutoka na Umoja huo kuhsindwa kuingilia kati mgogoro wa Syria na kuupatia suluhu.

Msimamo wa Umoja wa mataifa ya kiarabu kuhusu mzozo wa Syria umeleta mjadala  wa kiplomasia katika vyombo vya habari vya kimataifa na kuzidi kushangaza.

Katibbu wa Umoja wa Mataifa ya kiarabu katika mkutano kuhusu usalama ulioafanyika mjini Munich nchini Ujerumani alisema kuwa Uturuki imeingilia na kushambulia katika taifa la kiarabu, matamshia mbayo yalionesha kuwa  ni kauli za kutetea maslahi ya kiarabu.

Umoja wa Mataifa  ya kiarabau umefahamisha kuwa unakemea  siasa za Israel tangu kuanndwa kakwe ila hadi kufikia sasa hakuna hatua yeyote ilishchukuliwa kama adhabu au vikwazo dhidi ya Israel. Uamuzi wa kukemea Israel ulichukuliwa ila hakna uwezo wa  kuweka vikwazo dhidi ya Isarel.

Umoja wa mataifa ya kiarabu  umeshindwa kuchukuwa uamuzi wa pamoja kwa kuwa baadhi ya mataifa yua kiarabu yanakhofia  kupoteza maslahi.

Halşi kama hiyo iliwahi kushuhudia mwaka 1948 katika harakati za kususia bidhaa za Israel.

Mataifa ya Umoja wa kiarabu  yalştakiwa kususia  bidhaa za Israel, jambu  ambalo linashuhudiwa kwa sasa ni kwamba  halikuweza  kuwekwa katika vitendo na mataifa wanachama. Misri na Jordani zilisaini mkataba  na makubaliano ya amani na Israel  mwaka 1979 na mwaka 1994  kulisitishwa na uamuzi huo wa kususia bidhaa kutoka Israel.

Uongozi wa Ukingo wa Magharibi Palestina pia  ilisitisha uamuzi wa kususia bidhaa kotoka Israel kwa kusaini mkataba wa amani wa mwaka 1993.

 Habari Zinazohusiana