Mtazamo

Uhitaji wa "Magharibi ya kisasa" Tathmini kutoka Chuo kikuu cha Ankara Yildirim  Beyazit kitengo cha Sayansi za Siasa Dr..Kudret BÜLBÜL amefanya tathmini kuhusu suala hilo

Mtazamo

Uhitaji wa "Magharibi ya kisasa"

Historia ya sayansi ni sayansi yenye maufaa makubwa kwa binadamu endapo tu itafuatiliwa kwa kina.Lakimi kwabahati mbaya mengi hayachukuliwi maanani.Mateso na mauti ya wale walioishi zamani yanasahaulika haraka.

Kutoka Chuo kikuu cha Ankara Yildirim  Beyazit kitengo cha Sayansi za Siasa Dr..Kudret BÜLBÜL amefanya tathmini kuhusu suala hilo ...

 

Kutoka Magharibi ya zamani hadi Magharibi ya kisasa

Katika karne iliyopita, hamna kitu kilicholetwa magharibi zaidi ya vita.Magharibi ilisababisha vita vikuu kuliko vita vyote katika historia ya ulimwengu.Vita vya kwanza na vya pili vya dunia vilileta machozi na kusababisha damu kuwamgika kwa wingi.Baada ya kumalizika kwa vita hivyo magharibi ilipiga hatua na kuzalisha sera zenye thamani zaidi Ulaya.Uundajji wa Umoja wa Ulaya,ushirikiano Ulaya,uhuru,,haki za binadamu,demokrasia,amani ni kati ya vitu vilivyopewa thamani magharibi.

Kutoka Magharibi ya kisasa hadi ile ya zamani

Lakini leo tunaingia tena katika ulimwengu wenye kutisha . Marekani, Korea ya Kaskazini na taarifa za hivi karibuni zilizotolewa na Urusi, kuhusu silaha za kemikali na mabomu ya nyuklia vinaweza kuharibu amani..

Haki za binadamu huko Magharibi, kama vile uhuru, uhuru wa imani, heshima ya maisha na utofauti, vinaingia katika hali mbaya siku hadi siku. Mapambano dhidi ya uhamiaji wa Kiislamu yanazidi kuongezeka.. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Ujerumani Wizara ya Mambo ya Ndani zimeonyesha  mashambulizi 950 yaliyofanywa dhidi ya Waislamu nchini Ujerumani mwaka 2017 (katika http://www.spiegel.).

Mashambulizi 950 kwa mwaka! .Endapo mashambulizi yakifanywa Latin,mashariki ama katika nchi zakiislamu kwa asilimia moja tu (mashambulizi 9-10 ) na wakristu au wayahudi,mnaweza kutabiri dunia itafanya nini.

Mashambulizi magharibi hayapashwi kuwa mfano kwa sehemu nyingine.Mashambulizi dhidi ya Uislamu kwa bahati mbaya sio Ujerumani tu bali hali hii hufanywa kimya kimya magharibi.Katika historia ya hivi karibuni,ya Umoja wa Ulaya na mataifa mengine,maisha ya wale wenye kuishi tofauti hayajawahi kutishiwa kama ilivyo sasa.

Nchi za magharibi zimekuwa zikihifadhi magaidi wa makundi kama PKK,FETÖ,DHKP,huku haki za wakimbizi,mayatima zikidhulumiwa.Je kuna nchi ulimwenguni mabayo imekuwa kimbilio kwa magaidi kama nchi za magharibi ?

Kwa upande mwingine, sehemu nyingi za magharibi zimekuwa zikivipa vyama vyenye misimamo ya ajabu kama ubaguzi wa rangi,Unazi,Ufashisti,nguvu na kuacha vyama vyenye demokrasia.Kuna viongozi wa sasa huko Magharibi ambao hawana busara na huzua wasiwasi kwa jamii tofauti kama vile jirani zake na nchi nyingine.

Mwisho wa Magharibi ya zamani au wa historia

Katinawezaika muda mfupi,maisha ya binadamu yanaweza kufikia miwsho kutokana na silaha za nyuklia.Fikiria viongozi wa magharibi wanamiliki mabomu kama hayo badala ya kuyadhibiti.Viongozi hao huyafanya haya bila hata kuzingatia amani, ushirikiano, usawa, haki na uhuru, haki za binadamu ,chuki, kutengwa, kubaguliwa, ubaguzi na hufumbia macho mambo kama hayo.Kitendo cha kufikiria tu jambo hili kinaleta hofu.Fikiria madhara mabayo yalisababishwa na silaha za nyuklia katika vita vya kwanza na vya pili vya dunia.Tunashindwa hata kuzingatia uharibifu uliofanywa katika zama hizo.Tunapashwa kuzingatia uwezo wa kuleta athari hizo hii leo.Kuna watu tayari wameanza kuandika makala tofauti kuhusu suala hilo kama vile "Kulazimisha kiyama kutoka kwa Mwenyezi Mungu ", "Kukichukua kiyama kutoka kwa Mungu’".

Wale wanaofanya vitendo dhidi ya haki za binadamu duniani na kuharibu uhuru kinyume na maadili,je wanadhani wao watakuwa salama baada ya kufanya vitisho vyote hivyo.Historia haisemi hivyo.

Haja ya kuwa na magharibi ya kisasa

Tunaweza kuona jinsi wayahudi walivyoiingiza nchi yao wenyewe katika moto baada ya mauaji ya kimbari.Historia imetuonyesha hivyo. Waliofaa wa Magharibi wa Magharibi ...

Licha ya vitisho vya magharibi vinavyozidi kuendelea,kwa sasa mada ni "Uislamu wa kisasa" badala ya "magharibi ya kisasa".Suala la Uislamu wa kisasa ni mada ya siku nyingine.Kwa sasa vitu vinavyozidi kundela Marekani na Ulaya si kwamba vinatishia ameneo hayo tu bali vinatishia ulimwengu mzima.

Kwa maana hii, kupoteza kwa vyama vya mrengo wa kulia na kusoto kura barani Ulaya., Kunyamazisha sauti ya demokrasia kunaleta wasiwasi kwa maisha ua baadaye ya Ulaya. Tumeona katika karne ya mwisho jinsi Ulaya ilivyokuwa mbali na uradikali.Kwasababu hii dunia kwa pamoja inapashwa kufanya kazi kwa ajili ya kuleta magharibi ya kisasa na amani ulimwenguni.

Kutoka chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazıt kitengo cha sayansi za siasa,Dr. Kudret BÜLBÜL alipendekeza tathmini ya suala hilo ..Habari Zinazohusiana