Ushirikiana baina ya Uturuki na Azerbaijani

Ushirikiana baina ya Uturuki na Azerbaijani

Ushirikiana baina ya Uturuki na Azerbaijani

Ushirikiano wa kidiplomasai bain aya Uturuki na Azerbaijani  umetimiza miaka 26. Ushirikiano katika ya Uturuki na Azerbaijani umezzidi kuimarika katika nyanja tofauti. Leo tutazungumzia  hali hiyo ya ushirikiano  uliopo bain aya Uturuki na Azerbaijan.

Kipindi chetu kimetaarishwa na  daktari Cemil Doğaç kutoka katika chuo kikuu cha Atatürk kitengo cha ushirikiano wa kimataifa…

Mnamo Mwaka 1992, Februari 14 ushirikiano bain aya Uturuki na Azerbaijan  katika ushirikiano wa kidiplomasia  ulitiwa sainina sasa ushirikiano huo una zaidi ya miaka 26.  Azerbaijan  baada ya kutangaza uhuru wake mwaka 1991.

Uturuki ilikuwa taifa la kwanz a kutambua Azerbaijan  kama taifa baada ya kutangaza uhuru wake. Uturuki ililtambua taifa la Azerbaijan Novemba 9 mwaka 1991.

Mwaka 2010 ushirikiano bain aya Uturuki na Azerbaijani  ulianza kusainiwa.  Ushirikiano huo bain aya mataifa hayo mawili  ulipelekea pia ushirikiana na katika sekta ya ulinzi. Katika kipengele ccha pili cha Umoja wa Mataifa  na 51, haki ya kujihami  ilitolewa kwa kuitazama Uturuki.  Mfumo mmoja  katika ulinzi na kujihami  kumeonekana kuwa na ushirikiano.  Mwaka 2010 mfumo wa baraza la ushirikiano wa kimkakati .

 Ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili  umezidi kuimarika  katiki sekta tofauti  kama  sekta ya kijeshi, kisiasa, nishati na  sekta  nyingine tofauti.

Vile vile katika kipengele hicho sheria za ushirikiano wa kimkati  zilitaarishwa katika kipengele hicho nambari 7. Uendeshwaji wa ushirikiano huo  ni  pamoja na pamoja na mikakati  ipo mbioni  kuhakishwa kuwa inafaanikishwa.

Jambo hilo linafungua njia ya ushirikiano.  Tufahamishe kuwa ushirikiano katika ulinzi umekwisha faanikisha  mazoezi ya pamoja ya kijeshi bain aya wanajeshi wa Uturuki na wanajeshi wa Azerbaijani. Tumeshuhudia  uwezo mkubwa usikuwa na kifani  katika mazoeizi yaliofanyika.

Vile vile kuna kiwango kikubwacha matumaini ambacho tayari  kimefikiwa  kimkakati.

Uongozi umeonekani katika ushirikiano na Uturuki kuwa Uturuki  katika idara yake ya ulinzi na  uundaji wa silaha.

Uturuki imesaidia Azerbaijani kujizatiti katika jeshi lake.  Usaidizi huo ni pamoja na mfumo wa makombora kwa Azerbaiajni. 

Mfumo Sakarya na Kasırga ulitolewa kwa lengo la kutoa usaidizi kwa jeshi la Azerbaijani.  Tumeyashuhudia hayo mwaka 2016  wakati mapigano bain aya  Azerbaijani na Armenia.

Vikosi vya jeshi  vilivyokuwa Nahçıvan vilikuwa na umuhimu mkubwa kwa Azerbaijani. Vikosi vya jeshi la Azerbaijani vilipewa usaidizi  wa mafunzo , sialaha na  usaidizi mwengine ambao ulikuwa na umuhimu  katika vikosi hivyo.  Zaidi ya wnajeshi 5000 Juni mwaka 2017 walishiriki katika mazoezi ya kijeshi kati ya jeshi la Azerbaijani na jeshi la Uturuki.

Katika bahari ya Caspiana  ni moja ya vyanzo vya  nishati  na soko la kimaifa ambapo bomba la mafuta na mradi wa Baku-Tbilisi na Erzurum utasafirisha mafuta katika mradi wake.

Mradi huo kuhusu nishati na usafirishaji wa mafuta una umuhimu mkubwa  katika ufanisi wa miradi Azerbaijani.Habari Zinazohusiana