Turkish Airlines kuanzisha safari kuelekea Palermo

Ndege za Turkish Airlines zinatarajia kuanzisha safari kuelekea Palermo,Italia ifikapo mwezi Juni.

Turkish Airlines kuanzisha safari kuelekea Palermo

Ndege za Turkish Airlines zinatarajia kuanzisha safari kuelekea Palermo,Italia ifikapo mwezi Juni.

Turkish Airlines ni shirika la ndege lenye ubora mkubwa barani Ulaya na sasa limeongeza safari kuelekea katika mji wa Palermo nchini Italia.

Mji wa Palermo utavutia watalii wengi kupitia safari hizo na kuitangaza historia yake ya miaka 2700.

Kwa lugha ya zamani ya Kigiriki mji huo hujulikana kama "Great Harbor"bandari kubwa na huleta kipato kikubwa kupitia utalii,kilimo na biashara ya kimataifa.

Ndege za Turkish Airlines ni kati ya ndege zenye huduma bora ulimwenguni.Habari Zinazohusiana