Waziri mkuu wa Uturuki azungumza kuhusu mgogoro wa bahari ya Egea na waziri mkuu wa Ugiriki

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım afanya mazungumzo kwa njia ya simu na waziri mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras kuhusu Egea

Waziri mkuu wa Uturuki azungumza kuhusu mgogoro wa bahari ya Egea na waziri mkuu wa Ugiriki

 

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım afanya mazungumzo kwa njia ya simu na waziri mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras kuhusu mgogoro wa bahari ya Egae.

Viongozi hao wamefahamisha kuwa kuna umuhimu mkubwa  kufikia kunako maelewano na kutatua mgogoro huo kwa njia ya mazungumzo na uaminifu.

Kwa mujibu wa taarifa zilitolewa Jumanne na shirika la habari la Anadolu, mazungumzo baina ya viongozi hao yaligubikwa na mgogogo ulioibuka  kuhusu Egea.

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım amezungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza safari yake kuelekea Belarus.

Bahari ya Egea  inatakiwa kuwa barari ambayo itadumisha urafiki na sio uadui.

Waziri Yıuldırım amesema kuwa amiri jewshi mkuu wa Uturuki atakutana na amiri jeshi mkuu wa Ugiriki katika mkutano wa NATO unatarajiwa kufanyika mjini Brussels nchini Ubelgiji.

 Habari Zinazohusiana