Uturuki na mtazamo wa mashariki ya kati

Uturuki na mtazamo wa mashariki ya kati

Uturuki na mtazamo wa mashariki ya kati

Januari 20 mwaka 2018 jeshi la Uturuki lilianza operesheni yake dhidi ya ugaidi Afrin nchini Sytia kwa lengo la kuwaondoa magaidi katika mipaka ya Uturuk i na Syria.

Uturuki imejitaarisha na operesheni yake ya kwanza Afrin. Sio jambo la kushangaza kuona kuwa jeshi la Uturuki lilijianda kikamilifu  ili kunza operesheni hiyo ya kuwaondoa magaidi Afrin iliopewa jina la Tawi la Mzaituni.

Katika siku chache zilizopita ilifahamishwa kuwa Urusi ilikuwa haikubali kuendeshwa kwa operesheni hiyo.  Urusi ilielewa  lengo la Uturuki  kuanzisha operesheni hiyo  kutokana na hali ilivyokuwa ikijiri katika  ukanda.

Ushirikiano baina y Uturuki na Urusi  umekuwa ushirikiano kama vile una mashaka ndani yake . Uturuki na Urusi zimekuwa zikishirikiana katika kupeana taarifa kuhusu hali inavyoendelea katika ukanda.

Hali hiyo ya ushirikiano bain aya mataifa hayo bado inaendelea na itaendela Manbij na Afrin.

Marekani iliorodhesha kundi la PKK miongoni mwa makundi ya kigaidi na kuonekana kutoa usaidi wa kijeshi kwa kundi la PYD ambalo ni tawi la kundi hilo. Jambo hilo limekemewa vikali na Uturuki kwa kuwa ni kinyume na misingi ya demokrasia.

Kundi la PYD linatishi amani Uturuki , maslahi ya Urusi na usalama wa Iran pia.

Kundi la kşgaidi ambalo linapewa usaidi kutoka Marekani  miaka miwili ya nyuma  huenda likatumiwa dhidi ya Urusi na Syria katika wakati ujao.

Uwezekano ya kuingia Manbij, ushirikina baina y Uturuki na Urusi Marekani inajaribu  kwa mbinu tofauti kufikia katika hali kama ile ya Irak na Ghuba Syria. NATO inaweza kuingilia kati.

Jawabu la sauyala hilo na mbinu za Marekani lilitolewa katika mkutano wa Sochi ambao lengo lake  ni kufikia suluhu kunako mzozo wa Syria.

Baada ya mkutano wa Sochi  operesheni ya Afrin  ya Tawi la Mzaituni  na kuangushwa kwa ndege ya Urusi İdlib ni matukio ambayo yamezidi kuimarisha ushirikiano bain aya Uturuki na Urusi.

 

 

 

 

 


Tagi: ugaidi , Uturuki , Afrin

Habari Zinazohusiana