Uturuki na Mtazamo wa sera za nje

Uchambuzi na ufafanuzi wa kipindi chetu umetaarishwa na Dr.Cemil Doğaç İpek kutoka katika chuo kikuu cha Atatürk kitengo cha Ushirikiano wa kimataifa

Uturuki na Mtazamo  wa sera za nje

Rais wa Uzbekistani  Şevket Mirziyayev ametimiza muda wa mwaka mmoja akiwa katika wadhifa wa rais wa nchi hiyo

Leo katika kipindi chetu aua makala yetu tutazungumzia kipicha mwaka mmoja wa rais mpya wa Uzbekistani.

Ktika kipicha cha uongozi wake mwaka mmoja tutaangazia pia ushirikiano uliopo baina ya Uzbekistan na Uturuki.

Uchambuzi na ufafanuzi wa kipindi chetu umetaarishwa na Dr.Cemil Doğaç İpek kutoka katika chuo kikuu cha Atatğrk kitengo cha Ushirikiano wa kimataifa.

  İslam Kerimov aliongoza taifa la Uzbekistani kwa muda wa miaka 25 na rais Şevkket  Mirziyayev    kuchukuwa uaongozi baada ya uchaguzi uliofanyika baada ya kifo cha rais  Kerimov.

 sasa ni mwaka mmoja na tangu  rais Şevkket  Mirziyayev kuchukuwa uongozi nchini Uzbekistan.

Februari mwaka 2017 rais mpya wa Uzbekistani Şevkket  Mirziyayev alitangaza kuanzisha  mkakati mpya wa maendeleo katika kipindi cha uongozi wake kuanzia mwaka 2017 hadi mwaka 2021. rais Mpya wa Uzbekistani ametoa ahadi kemkem kuhusu mabadiliko katika sekta tofauti.

Uzbekistan ambalo kwa sasa limeonesha nia yake kubwa ni mabadiliko katika sekta yake ya uchumi.

Rais Şevkket  Mirziyayev katika kipindi cha mwaka mmoja akiwa katika wadhifa wa rais ameshawishi  sheria mpya inayorahisisha uchumi kuwa huru  kwa manufaa ya taifa lake kwa kwa kupitisha  sheria zaidi ya 40.

Rais Mirziyayev anaonekana kuachana na siasa za rais wa zamani Kerimov na kufufua ushirikiano na mataifa menginei ikiwemo Uturuki ambae kwa sasa ni mshirika wake katika mstari wa mbele.

kitendo cha rais mpya wa Uzbekistan kufanya ziara nje ya nchi ni kiashiro tosha kuwa taiafa na rais huyo na kiwi cha ushirikiano.

Katika kipidi cha miezi 14 uongozi wa Uzbekistani umetoa wito wa  mabadiliko na ushirikina katika nyanja tofauti  kwa ushirikinao na mataifa tofauti kama Uturuki.

Rais wa Uzbekistani amefanya ziara zaidi ya mara 6 na kuonana viongozi kama rais wa Turkmenistani na Kirgistani.

Rais wa Uzbekistani ameonana na rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan katika ziara zake mbili katika zoezi la kutaka kuimarisha ushirikiano na mataifa jirani.

Jitihada za Uzbekistani  katika lengo lake la kuimarisha ushirikiano wake na mataifa jirani ni kutoa fursa ya kuimarisha ushirikiano katika ukanda.

Kongamano la kimataifa  kuhusu usalama  na maendeleo ya kudumu  Asia ya Kati liliandaliwa  Novemba 10 na Novemba 11 mwaka 2017 chini ya usimamizi wa  Umojawa Mataifa.

Kongomano hilo liliandaliwa kabla ya tamashala Nevruz la mwaka 2018 kuanza mjini Astana. Kongamano hilo liliwajumuisha viongozi na marais kutoka katika mataifa matano ya Asia ya Kati.

Ushirikinao huo  baina ya mataifa ya Asia ya Kati  utapelekea  kuinua na kufufua ujenda ya ushirikiano wa mataifa ya kituruki.

Wakati mfupi ujao Uzbekiistani linatarajiwa kuwa taifa  kituoc muhimu katika sekta ya biashara katika ukanda.

Katika kipindi cha kwanza cha uongozi wa rais Mirziyayev ametoa uhuru wa vyombo vya habari na kutoa habari kwa uhuru.

Rais Mirziyayev  amechukuwa uamuzi  wa kipekee ambao umewafanya  wakulima kuongeza juhudi katika kazi yao. 

Kuanzia Januari mwaka 2019 serikali itabiga atua na kuwaruhusu raia kuondoka nchini bila ya vikwazo . Mabadiliko makubwa yanatarajiwa katika utoaji visa baina ya Uturuki na Uzbekistan.

Atua hiyo ni atua yenye maendeleo makubwa  na muhimu kwa taifa lenye kuitaji mabadiliko na ushirikiano.

 

 

 

 

 

 

 

 Habari Zinazohusiana