Uchambuzi wa Matukio

Wiki ya pili ya operesheni ya jeshi la Uturuki "Tawi la Mzaituni" Afrin nchini Syria

Uchambuzi wa Matukio

 

Kuna mabadiliko makubwa muhimu nchini Syria. Uturuki ilianzisha operesheni Afrini nchini Syria kwa lengo la kuwaondoa magaidi na vitisho vyao mkani mwake na Syria. Zaidi ya hilo jeshi la Uturuki limezidisha ulinzi katika mipaka yake na hali ya mvutano inayoripotia Idlib.

Hali ya mabadiliko katika eneo hilo naathiri kwa kiasi kikubwa matarajio ya Marekani.

Operesheni ya jeshi la Uturuki iliopewa jinala Tawi la Mzaituni  bila shaka inadhofisha kwa kiasi kikubwa ushawishi na uwepo wa wanamgambo wa kundi la kşgaidi la PKK/PYD katika ukanda.  Maeneo kama Manbij, Haseke , Raqqa na  Deyr Ez-Zor wakazzi wa ke tayari wameanza kuonesha  kuchoshwa na vitendo vya wanamgambo hao.

Makaazi wa Manbij  wameonesha msimamo wao dhidi ya kundi la YPG. Mazungumzo ya  amani kuhusu Syria yalioandaliwa mjini Asatana kwa ushirikina kati ya Urusi na Iran, Marekani imeonekana kuunga mkono upande wa upinzani na kuwekwa  kando.

Uwepo wa jeshi la Uturuki katika eneo la kimkakati Idlib  ni kuonesha  msimamo wenye nguvu wa Uturuki Syria.

Jeshi la Uturuki limefahamisha kuwa  maendeleo ya kurishisha yanaonekana katika operesheni yake Syria.

Licha ya kuwa na ugumu  uliosababishwa  kşjieografia ya eneo hilo, jeshi la Uturuki  linazipi kusonga mbele katika operesheni yake nchini Syria dhidi ya ugaidi.

Operesheni  katika eneo la milima Afrin hağo mwanzoni ilijadiliwa . wanmagmbo wa kundi la PYD walikuwa na lengo laytaka kuwa ushawishi wa kisiasa katğka ukanda.

Kundi hilo la kigaidi lilikuwa likipata usaidizi wa kşjeshi kutoka Marekani. Inahamika kuwa  eneo ambalo lilikuwa ngome za wanamgambo wa YPG nchini Syria liliikuwa na jamii ya waarabu na waturkmen.

Baada ya wanamgambo wa kundi la Daesh kuondolewa  katika eneo hilo maswali yaliibuka kuhusu kundi la wanamgambo  wa YPG. Jamii ya waarabu , waturuki na waturkmen kwa ushirikina o walisimama pamoja kupinga ugaidi na kukabiliana na magaidi.

Kwa uhakika operesheni ya jeshi la Uturuki ya « Tawi la Mzaituni »  dhidi ya wanamagmbo wa kund la kigadi la PYD sio tu kwa Marekani kutoa msaada kwa wanamgambo wa kundi hilo.

Kutoka na kuwepo kwa maelzo tofauti  kuhusu operesheni ya Afrin inayoendeshwa na jeshi la Uturuki , Marekani imekuwa ikonekana kutoa maelezo tofauti. Wadadisi wa masuala ya kisiasa  kutoka Marekani  wamefahamisha kuonekana kwa kundi la wanamgambo wa YPG katika orodha ya makundi ya kigaidi . Shirik a la ujasusi la Marekani CIA limeorodhesha kundi hilo miongoni mwa makundi ya kigaidi.

Uturuki, Urusi na Iran  ni matafa mabyo yamesimama pamoja katika mazungumzo ya amani kuhusu Syria yalioandaliwa mjini Astana na Marekani kuonekana kuwa pembeni.

Uamuzi wa Marekani  uliochukuliwa wa kupambana na kundi la kşgaidi kwa kutumia kundi la kigaidi  umezidi kuibua mgogoro na hali isioridhisha  katiak ukanda.

Kundi la YPG lingezidi kuiweka Syria ktika hali mbaya na kudhoofisha mazungumzo ya amani yaliosimamiwa na Urusi, Uturuki na Iran. Uturuki ilichukuwa uamuzi wa kulindi usalama na kuuimarisha katika mipaka yake.

YPG katika mapambano dhidi ya  kundi la wanamgambo wa Daesh ingepelekea kundi hilo  kuzidi kuweka kambi zake  Syria.

Hali  nyingine  ilijitokeza nchini Syria ni hali ya Syria, jeshi la Uturuki pia linataraji eneo hilo kuwa na usalama.

Kufunguliwa kwa kituo cha uchunguzi Aleppo ni kwa lengo la kuhakisha kuwa  mkataba wa kusitishwa mapingano unaheshimiwa.

Uturuki imepokea wakimbizi kutoka Syria zaidi ya milioni 3 katika maeneo tofauti yanayopatikana mpakani mwa Uturuki na Syria.


Tagi: Syria , Uturuki , Afrin

Habari Zinazohusiana