Mtazamo wa Uturuki Mashariki ya Kati

Mtazamo wa Uturuki Mashariki ya Kati,Misri

Mtazamo wa Uturuki Mashariki ya Kati

Kifo cha wafungwa 19 ndani ya wiki moja Misri  kutokana na haki za kisheria na hukumu ya kifo ya mahakama ya kijeshi iliyobadilishwa imefanya uongozi utizamwe kwa jicho la pili.

 

Hukumu ya kifo ya wafungwa wanne walioshutumiwa kuhusika na shambulizi la Kefar al Sheikh ilifanywa 2 januari 2017 katika wiki ya mwisho ya mwaka 2017.Hukumu ya kuuawa kwa watu 15 walioshutumiwa kuwa magaidi Sinai Peninsula January 2,walinyongwa siku ya Jumanne.

 

Wafungwa wote walionyogwa ndani ya wiki moja walihusishwa na makundi ya kigaidi kama vile DAESH na Baytul Maqdis.

Hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa kama kulikuwa na wanachama wowote wa Ivan katika kundi la watu 15 lililonyongwa.

 

Kwa wiki nzima Cairo, haukuwezekana kupata taarifa za kuaminika kutoka kwa vyanzo rasmi na visivyo rasmi katika suala hili.

 

Wiki moja baadae Januari 2 Jumanne asubuhi wakati wa kunyongwa wafungwa wanne wa gereza la Burc al arab Alexandria hali ilibadilika kiasi.

Ivan,mtangazaji nje ya Misri ameanza kukosoa jinsi wafungwa walivyohukumiwa na watakavyohukumiwa.

Ufungaji wa vyombo vya habari vinavyohusiana na zile za Ivan hautafanywa mtu kunyamaza.

 

.

 

Kwa mujibu wa taarifa zisizo rasmi zilizopatikana kutoka katika vyanzo vya kuaminika na wasaidizi wa Cairo, kuna pia wanachama wa Ihvans ambao waliuawa.

 

Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kutoka kwa watu muhimu na wa karibu na zisizohitajika shirika kutajwa jina, wafungwa wote waliouawa Januari 4 walikuwa wanachama wa Ihvan na wawili pia kati ya walionyongwa katika kundi la watu 15 wa kwanza.

 

Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, wafungwa 6 kati ya 19 waliouawa ndani ya  siku 8 walikuwa wanachama wa Ihvan.

 

Kwa nini Ivan haitoi maelezo?

 

Shirika lina sababu tofauti za kutoelezea jambo hilo.

 

Kwanza kabisa kati ya waliohukumiwa kifo,wengi wao walituhumiakuhusika na shirika la kigaidi.Kuwaooa wafungwa hao ingemaanisha kuwa shirika hili linatetea ugaidi.Hii ineleta balaa kwa vyombo vya habari.Katika kipindi hiki amabapo uchaguzi wa urais unakaribia harakati za kuokoa wafungwa waliobaki wakitumai msamaha wa rais Abdullfettah al Sisi kunaweza kuliweka shirika katika matatizo makubwa.

 

 

 

Sababu yapili nishirika hilokutotaka kutizamwa sana na umma katika siku hizi karibu na uchaguzi.Kwa sasa maisha ya Misri yameonekana kuwa ghali na kila mtu anafikiria mfuko wake.Katika hali kama hii,serikali inawajibishwa.Pia Ivan inaweza kufanywa kitega ucuhumi kwa uchaguzi unaouja kama vile ilvykuwa ikifanywa miaka ya nyuma kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwezi Aprili.

 

Sababu ya tatu ni suala la Ahmad Shafiq. Kukata rufaa kwa shirikahilo kuwasaida wafungwa hao kunaweza kufanya ionekane kuna uhusiano baina yao na waziri mkuu wa zamani ambae pia ni mgombea katika uchaguzi ujao.

 

 

Inaonekana kuwa kabla ya uchaguzi usimamizi wa shitrika hilo utabaki kimya ili kutofanya watu watizame vyombo vya habari mno,jambolitakalochukuliwa kama uadui

 

Matokeo ya kukaa kimya yanaweza kuwa 

 

Kukaa kimya kwa shirika hilo katika wakati kama huu kunaweza kusabbaisha adhabu ya kifo itolewe hata kwa kiongozi wa shirika mwenyewe.

 

Hii ni kwasababu ya adhabu ya kifo iliyotolewa kwa watu kama Mohammed Bedi,kiongozi wa halmashauri,Khairat Shatir katibu mkuu wa chama cha Freedom and Justice,Naibu mwenyekiti wa chama hicho Islam al Aryan na kwa aliyekuwa spika wa bunge Saad al Ketathni.

 

Kati ya majina yaliyotajwa kwenye hukumu ya kifo ilitolewa na mahakama katika tukio la kwanza. Baadhi ya watuhumiwa waliamua kukata rufaa mahakama ya juu, lakini kesi zao zinazoroteshwa na watu wanazidi kuhukumiwa.

 

Kuna wasiwasi kuwa mahakama inaweza kutoa hukumu ya kifo kwa baadhi ya watu katika uongozi wa Ivan mpaka pale uchaguzi utakapowadia mwezi Aprili.Huo ınaweza kuwa mchakato wa mahakama hio.


Tagi: uchaguzi , Misri

Habari Zinazohusiana