Utafiti umeonyesha wanawake wana uwezo mkubwa wa kukabiliana na hali ngumu

Utafiti umeonyesha wanawake wana uwezo mkubwa wa kukabiliana na hali ngumu ukilinganisha na wanaume.

Utafiti umeonyesha wanawake wana uwezo mkubwa wa kukabiliana na hali ngumu

Utafiti umeonyesha wanawake wana uwezo mkubwa wa kukabiliana na hali ngumu ukilinganisha na wanaume.

"Wanawake ni sugu zaidi kuliko wanaume hata katika hali mbaya zaidi, kama vile njaa na ugonjwa wa ugonjwa."

Kwa mujibu  wa habari utafiti huo umeelezewa katika gazeti la "Proceedings of the National Academy of Sciences" na kusema kuwa wanawake wana uwezo mkubwa wa kukabiliana na hali ngumu ukilinganisha na wanaume.

Katika utafiti uliofanywa na Virginia Zarulli kutoka katika chuo cha kusini mwa Denmark na James Vaupel kutoka katika chuo cha Duke nchini Marekani,watafiti hao wamefanya utafiti kuhusu maisha ya watu walioishi miaka 250 nyuma na kukabiliana na njaa pamoja na magonjwa mbalimbali.

Wametizama takwimu zote za vifo vilivyosababishwa na sababu hizo na ikaonekana kuwa wanawake wana uwezo mkubwa wa kujimudu.

Historia pia imeonyesha kuwa wanawake huishi maisha marefu ukilinganisha na wanaume.Habari Zinazohusiana