Mtazamo wa sera za nje za Uturuki

Mwaka 2017 na sera za nje za Uturuki

Mtazamo wa sera za nje za Uturuki

 

Serikali ya Uturuki ina lengo jipya katika jitihada zake mwaka ambazo zinaendelea tangu mwaka 2017. Mwaka 2017 Uturuki ilifanya  mabadiliko na maendeleo makubwa katika sekta zake tofauti. Leo tutazungumzia kuhusu mtazamo wa sera za nje za Uturuki  kwa ufafanuzi utakao tolewa na  mhariri katika chuo kikuu cha Atatğrk katika kitengo cha ushirikiano wa kimataifa Cemil Doğaç.

 Vipengele ambavyo vinaashiria uezo na ufanisi wa siasa za nje za Utuıruki mwaka 2017  ni vipengele vifuatavyo:

Maendeleo ambayo hayakutarajiwa katika kiwango cha kimataifa na ukanda mzima, Maendeleo ya Uturuki yamepiga atua ilioshangaza. Mabadiliko katika mfumo  wa siasa za ndani, mapambano dhidi ya ugaidi na mbinu mpya za mafaanikio zaidi.

Kuanzia mwanzoni mwa mwaka 2017 hadi kufikia mwisho wake, wanadiplomasia  walikuwa wakşshtushwa na mabadiliko yaliokuwa yakishuhudiwa nchini Uturuki. Sio wanadiplomasia wa Uturuki bali pia wanadiplomasia katika ukanda na ulimwengu mzima.

Wanadiplomasia wa Uturuki wameweza kuinua kiwango cha ushikiano katika kipindi cha mwaka 2017.

Kwa mbinu na mifumo mipya, urafiki na ushirikiano umeshuhudiwa baina yao na wanadiplomasia wa kimataifa.

Ushirikiano ulioafikiwa katika kipindi cha mwaka 2017 sasa baadhi tayari  ufikia katika kipindi cha kutekeleza vitando.

Mwaka 2017  usisitizo  katika diplomasia ya Uturuki ilikuwa na eneo la Mahariki ya Kati na hali halisi inayo husu  hali ya Syria.

Suala la Syria  ni jambao ambalo  lilipewa nafasi kubwa katika ssera za nje za Uturuki.

Nchini Syria  kundi la kigaidi la PKK lilikuwa lengo la Uturuki kutokana na ushirikiano wake na kundi la PYD/YPG.

Uturuki ilikuwa na lengo la kuondoa vitisho vya ugaidi katika mipaka yake na Syria. Uturuki iliongeza ulinzii katika eneo lake la mpakani na Syria kwa kuongeza idadi ya wanajeshi. Uturuki,Urusi na Iran kwa pamoja ni taifa ambayo yalishirikiana kwa lengo la kurejesha amnai nchini Syria na kuzuia mauaji kwa kusitisha mapigano.

Urusi kama ilivyokuwa Uturuki pia ilikuwa nal lengo la kutaka kuzuia ghasia kuendelea nchini Syria. Kwa kifupi mzozo wa Syria  ulishughulisha mataifa hayo.

Mzozo wa Syria katika juhudi za kutafuta ufumbuzi, ömazungumzo ya amani yalitaarishwa Astana. Uturuki imefanya  mabadiliko muhimu katika sera zake kuhusu Iraq pia mwaka 2017.

Uamuzi wa Barzani kiongozi wa eneo la wakurdi kuandaa kura ya maoni ulikuwa ni uamuzi ambao ulikuwa kinyume na sheria ya kimataifa. Uamuzi huo ulipelekea eneo hilo kujikuta katika hali ya kuharibu ushirikiano na majirani zake.

 

Kutokana na uamuzi wa kura ya maoni, utawala wa Baghada uliitaji ushirikiano na Iran  pamoja Uturuki ili kufikia  kubadili hali halisi.

Baada ya uamuzi wa hatari wa raia wa Marekani Donlad Trump  kutangaza kuwa seriakli yake inatambua mji wa Jerusalem kuwa mji  mkuu wa Israel Uturuki iliingilia kati na kutoa wito ambao ulionesha nguvu za kidiplomaisa kwa ushirikiano na ulimwengu mzima na muungano wa matifa ua kiislamu. Suala la Jerusalem lilifikishwa katika baraza la Umoja wa mataifa na kupatiwa ufumbuzi.

Suala la Jerusalem lkatika mkutano huo wa baraza la Umoja wa mataifa , tamko la ulimwengu ni mkbwa kuliko mataifa matano lilidhihirika kwa  matokeo yake.

Uturuki ilikemea vikali pia kuhusu jamii ya waislamu  wa Rohingya Myanmar.

Mwaka 2017 ulikuwa ni mwaka mgumu kwa kiasi kadhaa kwa uTuruki katika ushirikiano wake na washirika wake wa Magharibi.

Marekani, Umoja wa Ulaya na jeshi la kkujihami la NATO na baadhi ya mataifa ya Magharibi ushirikiano ulionekanakuwa mikwaruzo. Moja baadhi ya mataifa hayo ilikuwa Ujerumani. Mikwaruzo hiyo ilijitokeza katika masuala tofauti. Mikwaruzo na Mrekani ilitokea kutoka na msaada ulitolewa na Marekani kwa kundi la kigaidi la PYD ambalo ni tawi la kundi la kigaidi la PKK nchini Syria. Marekani ilikuw akidai kuwa kundi hilo linatoa usaidizi katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi.

Vile vile kulikuepo suala la  kundi la FETÖ.

Uturuki ilisimama kidete na kuzuia jambo lolote ambalo lilionekana kuwa ingekuwa kikwazo katika usalama wa taida zima la Uturuki. Mapambo dhidi ya ugaidi ilikuwa ni jambo ambalo lilishughulisha ulimwengu mzima na uTuruki kuwa makini.

Uturuki ilipigamnia haki yake  na kufikia malengo yake.

Ushirikiano na Magharibi haukuwa katika hali nzuri ya ushirikiano.

Ushirikiano na Urusi  ulionekana kuimarika bain aya Uturuki na Urusi katika sekta ya ulinzi. Vile vile ushirikiano katika sekta nyingine ulionekana kama vile ushirikiano katika biashara na utalii.

Ushirikiano na Zenezuela ambalo ni taifa ambalo linajitegemea na kuwa kando na kile ambacho kinaonekana kuwa kama ubepari. Barani Afrika, Uturuki imezidisha ushirikiano.  Usaidi wa kijeshi umetolewa nchini Sudan na Somalia kwa kutoa mafunzo.

Asia na Afrika kuliwezekana kufunguliwa  vituo vipya ambavyo vinarahisisha  mawasiliano.

 

 

 Habari Zinazohusiana