Korea–kaskazini kushiriki katika michezo ya olimpiki msimu wa baridi

Korea-Kaskazini kushiriki katika michezo ya olimpiki ya msimu wa baridi itakayo fanyika nchini Korea-Kusini

Korea–kaskazini kushiriki katika michezo ya olimpiki msimu wa baridi

Korea –kaskazini kushiriki katika michezo ya olimpiki msimu wa baridi

Korea Kaskazini imependekeza Jumanne kutuma tume ya wajumbe maalumu kuzunguza kuhusu uwezekano wake wa kushiriki katika michezo ya olimpiki inayotarajiwa kufanyika ifikapo Februari 9 nchini Korea-Kusini.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Seul zimefahamisha kuwa mazungumzo yaliofanyika  katika atua ya kwanza na Korea-Kaskazini yanaonesha matumaini.

Katika hali ya kupunguza mvutano katika ukanda bain aya Korea-Kusini na Korea-Kaskazini, Korea Kusini imependekeza  wanamiichezo wa Korea watashiriki katika gwaridi la ufunguzi wa michezo ya olimpiki.Habari Zinazohusiana