Trump:"China inatusaidia lakini si Urusi"

Rais wa Marekani,Donald Trump amesema kuwa Urusi ni  nchi muhimu sana katika kutatua mzozo wake na Korea Kaskazini.

Trump:"China inatusaidia lakini si Urusi"

Rais wa Marekani,Donald Trump amesema kuwa Urusi ni  nchi muhimu sana katika kutatua mzozo wake na Korea Kaskazini.

Kwa mujibu wa habari,Trump alimpigia simu Putin na kumtaka asaidie katika kutatua mzozo kati ya Marekani na Korea Kaskazini.

Hata hivyo siku mbili baada ya mazungumzo hayo,Trump  aliiambia White House kuwa China imekuwa ikisaidia sana katika kutatua mzozo wake na Kim Jong Un,lakini sio Urusi.

Putin amemwambia Trump kuwa huenda maongezi yao yakaendelea.

Koea Kusini nayo imeiomba Korea Kaskazini kukubali kufanya mazungumzo ya amani.

Tagi: Urusi , Marekani

Habari Zinazohusiana