Balozi mpya Urusi nchini Uturuki ateuliwa

Alexei Yerkhov akuwa balozi mpya wa Ankara baada ya mauaji ya Andrey Karlov mwezi Desemba mwaka jana

Balozi mpya Urusi nchini Uturuki ateuliwa

Urusi siku ya Jumatatu imemteua Alexei Yerkhov kuwa balozi mpya wa Uturuki baada ya mauaji ya balozi wa zamani Andrey Karlov aliyeuawa katika hafla ya maonyesho ya picha jijini Ankara Desemba mwaka jana .

Uteuzi huo ulifanywa na rais Vladimir Putin alitia saini.

Mauaji ya Karlov mwaka jana ilibainishwa kuwa uchochezi ili kuharibu uhusiano baina ya Uturuki na Urusi.

 Habari Zinazohusiana