Swali la Mwezi

Mkutano wa Umoja wa Mataifa uliofanyika mwaka huu umefanyika kwa mara ya ngapi
a)68
b)72
c)70

 

Watu watatu wa kwanza watakao jibu vema  watakuwa washindi na kupewa zawadi kutoka kutoka katika ofisi zetu za Idhaa Sauti ya Uturuki.

Mnaweza kutuma majibu yenu kwa kutumia anuani yetu ya hadi idikapo Septemba 31 mwaka 2017.

Tunakutakieni ushindi mwema.


Jibu swali la mwezi