Watu 18 wauawa katika shambulizi la waasi wa ADF JK Kongo

Waasi wa kundi la ADF  kutoka Uganda wawaua watu 18 katika shambulizi  katika jimbo la Beni JK Kongo

Watu 18 wauawa katika shambulizi la waasi wa ADF JK Kongo

Wanamgambo wa kundi la waasi la ADF  kutoka Uganda lashambulia  jimbo la Beni Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kupelekea vifo vya watu 18 na kuwajeruhi wengine 20.

Shambulizi hilo limeripotiwa kutokea usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili.

 Kanali Boniface Lukiro amewafahamisha waandishi wa habari kuwa waasi wa ADF  wameshambulizi Kasinga kwa silaha nzito na jeshi la serikali kujibu mashambulizi hayo.


Tagi: Beni , Kongo

Habari Zinazohusiana