Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa anusurika katika mlipuko Bulawayo

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa anusurika katika mlipuko mjini Bulawayo katika mkutano wa hadhara

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa anusurika katika mlipuko Bulawayo

Rais wa  Zimbabwe  Emmerson Mnangagwa anusurika katika mlipuko uliotokea katika mkutano wa hadhara  uliokuwa ukifanyika katika uwanja wa White City mjini Bulawayo Kusini-Magharibi mwa Zimbabwe.

Oppah Muchinguri-Kashiri , waziri wa mazingira  na  viongozi wengine waliokuwa katika jukwaa la rais wamejeruhiwa katika mlipuko huo.Habari Zinazohusiana