Mvua ya maafa  Kaskazini mwa Nigeria

Watu 16  wafariki kufuatia mvua  kali na mafuriki Kaskazini mwa Nigeria

Mvua ya maafa  Kaskazini mwa Nigeria


Watu 16 wamefariki na wengine kadhaa wajeeuhiwa   Kaskazini mwa Nigeria kutokana na mvua kali zilizosababisha mafuriko.

Kutokana na mvua kali zilionyesha  katika eneo Bauchi, watu 16 wamefariki na wengine  kadhaa kujeruhiwa.

Mvua kali zimwnyesha usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili zimepelekea baadhi ya vituo vya biashara kufungwa na bidhaa tofauti kuharibika kwa maji.

Majumba kadhaa yamebomoka, miti kung oka  huku hofu  ya mvua kuendelea ikitanda.Habari Zinazohusiana