Atupwa gerezani kwa kuhamasisha Umoja Somaliland

Mtunga mashahiri  atupwa  gerezani kwa kwa kosa la kuhamasisha Umoja Somaliland

Atupwa gerezani kwa kuhamasisha Umoja Somaliland

Mtunga mashahiri anaentambulika kwa jina Naima Ahmed Qorane katika jimbo lililojitenga la Somaliland amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani kwa . mshahiri huyo anahukumiwa adhabu hiyo  kwa kuonesha msimamo wake dhidi  kuhusu Somaliland kujitanga.

Mahakam aya Somaliland imemuhukumu Naima Ahmed Qorane mwenye umri wa miaka 27 kifungo cha miaka mitatu kwa kuhamasisha umoja.

Somaliland iliitenga  na kujitangaza kama taifa huru mwaka 1991.Habari Zinazohusiana