Vijana kutoka Algeria wapotea katika safari ya matumaini kuelekea barani Ulaya

Vijana kutoka nchini Algeria wapotea  wakiwa katika safari ya ”matumani” kuelekea barani Ulaya

Vijana kutoka Algeria wapotea katika safari ya matumaini kuelekea barani Ulaya

Familia na wazazi nchini Algeria wabaki katika majonzi baada ya vijana wao kuanza safari yao ya ”matumaini” kuelekea barani Ulaya.

Kutokana na ukosefu wa ajira na kupoteza matumaini nchini Algeria, vijana nchini humo huchukuwa uamuzi wa kusafiri kinyume na sheria kwa kutumia maboti  na kuanza safari zao kuelekea barni Ulaya.

Wakiwa na matumaini ya maisha bora barani  hujaribu kuvuka bahari ya Mediterania bila ya khofu.

Mmoja miongoni mwa wazazi ambao hawana taarifa kuhusu walipo watoto wao kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja  ameskitishwa na kutoeka kwa mwanae aliesafiri kwa kutumia bot ina wenzie wakiwa na matumaini ya maisha bora barani Ulaya.

Vijana wengi barani Afrika hudhani kuwa Magharibi kuna maisha bora jambo ambalo huwapelekea kuwekeza ili kuhakikisha kuwa wanasafiri kwenda Ulaya.Habari Zinazohusiana