Ziara ya rais Recep Tayyıp Erdoğan Afrika Magharibi

Uchambuzi wa Can ACUN mtafiti na mtunzi katika shitika la utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii

Ziara ya rais Recep Tayyıp Erdoğan Afrika Magharibi

Mtazoma wa Uturuki katika kipindi ambapo mabadiliko makubwa yameshuhudiwa  Uturuki ni ushirikina na mataifa ya bara la Afrika. Ushirikina mpya  umeonekana kuchukuwa hatamu mpya.

Sera za nje za kisiasa za Uturuki barani Afrika ni kwamba Uturuki  meweza kuendesha shughuli na harakati za kutoa misaada ya kiutu barani Afrika.

Katika kipindi hiki  maendeleo makubwa katika ushirikiano bain aya Uturuki na mataifa ya bara la Afrika  yamezidi kuonekana  kutokana na kuimarika kwa ushirikinao wa kidiplomasia.

Ushirikiano huo wa kidiplomasia umepelekea  kuonesha kuwa matunda yatapatika na kuwa na zaida kwa  pande zote mbili.

Uturuki ni taifa ambalo hailendeshi ushirikiano wake na mataifa ya bara la Afrika kwa kutumia ukoloni kwa kuwa Uturuki haikuwa taifa ambalo lilihusika  na kitendo hicho cha kukemewa ambacho kilifanyika katika kipindi cha historia ambapo dunia haikuwa na haki.

Uturuki kwa kuwa haikuwa katika historia ya ukoloni barani Afrika, jambo hilo linaifanya Uturuki  kuwa na nafasi muhimu barini Afrika na matarajio ya ushindi na manufaa.

Ziara ya rais  Erdoğan  barani Afrika alitembelea Algeria, Senegal na Mali ilikuwa na umuhimu mkubwa kwa kuwa  imepelekea  kuzidisha  ushirikiano bain aya mataifa ya bara la Afrika na Uturuki  katika sekta ya uchumi  na kimkakati.

Kiwango cha biashara  kati ya Uturuki na mataifa ya bara la Afrika kimeongezeka  mara 6 katika kipindi cha miaka 15 na kufikia thamani ya dola bilioni 17,5.

Uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nchini Uturuki kuelekea katika mataifa ya bara la Afrika ilikuwa ni takriban dola milioni 100 mwaka 2003 na kukaribia kiwango cha  dola bilioni 6,5 mwaka  2017.

Miradi kadhaa ya ushirikiano  katika sekta ya uchumi ilisainiwa baina ya Uturuki na   mataifa ya bara la Afrika katika ziara yake  aliofanya Afrika Magharibi.

Kwa upande mwingine  malengo mengine  kwa ajili ya maendeleo na  kuinua kiwango cha biashara  baina ya Uturuki na mataifa ya bara la Afrika yamepewa nafasi mpya.

Kwa mafano, malengo ya dola milioni 400 yamewekwa  katika sekta ya uchumi na ushirikiano na Senegal baada ya kufikia kiwango cha milioni 250.

Mpango wa Uturuki kushirikina na mataifa ya bara la Afrika una lengo ya kuwa na manufaa pande zote mbili, manufaa  kwa pande zote mbili.

Manufaa hayo ni kinyume kabisa na kile ambacho  kumezoleka  na mfumo wa kikoloni.

Waandishi wa habari nchini Algeria  walimuuliza rais Erdoğan  kuhusu Utawala wa Dola ya Uthmania kuwa Uturuki ya sasa inaichukulia Algeria kama koloni lake, rais Erdoğan iliji akisema kuwa kama Algeria ingkuwa koloni la Uturuki basi swali lililoulizwa lingueilizwa kwa lugha ya kituruki na sio kwa lugha ya kifaransa.

Jibu lililotolewa na rais Erdoğan linaashirikia kuwa sera za nje za Uturuki ni tofauti na sera za Magharibi  zinazokwenda kwa kufuata misinigi ya kikoloni barani Afrika na maeneo mengine.

Sababu nyingine ambazo zinapelekea mafaanikio Uturuki barani Afrika ni diplomasia na mşsaada ya kiutu inayotolewa.

Uturuki katika utoaji misaada ya kiutu imechukuwa nafasi muhimu ulimwenguni ikiwemo oia barin Afrika . Uturuki imechangia kwa kiasi kikubwa katika kukabiliana na janga la njaa, ukame na kujitolea kwa kutoa misaada kwa watu wenye mahitaji.

Misaada hiyo kutoka Uturuki imetolewa kwa waathirika wa vita na maradhi katika maeneo tofauti.

Mke wa rais wa Uturuki Bi Emine Erdoğan  alizungumzi apia kuhusu misaada ya kiutu inayotolewa na uTuruki kwa kusema kuwa ukame uneweza kuwa  janga kwa bara la Afrika ktika maeneo yanayokumbwa na ukame bali njaa haitakiwi kuwa janga na kusababisha maafa .

Bi Emine Erdoğan amesema kuwa maafa ya pamoja haitakiwi kuwa nanga, tunataki.wa kwa ushirikiano na mashirika ya kimataifa kukabiliana na tatizo hilo na kupelekea bara la Afrik akuweza kujimuda na kukabiliana na majanga yanayotokea.

Licha ya misaada ya kiutu , makao makuu ya jeshi, wazara ya uchumi, wizara ya maendeleo, wizara ya elimu, hazina, shirika la makaazi ya umma, AFAD, shirikisho la lakutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyo vikuu, shirika la Kızılay, shirika la Yunus Emre na mashirika mengine yasikuwa ya kiserikali yanatakiwa kuanzisha miradi ambayo  itakwenda sambamba na mahitaji ya mataifa ya bara la Afrika.

Miradi hiyo ni moja ya malengo ya Uturuki katika ushirikiano wake na Afrika.

Ushirikiano bain aya Uturuki na mataifa ya bara la Afrika unazidi kuengezeka siku hadi siku.

Kwa upande mwingine , sekta ya uchumi, Uturuki imeanza  kuwa mshirika muhimu katika sekta hiyo hasa katika ujunzi.

Mashirika ya ujenzi ya kituruki yanasimamia miradi mikubwa ya ujenzi katika mataifa tofauti barani Afrika.  Rais Erdoğan katika ziara yake barani Afrika ametembelea katika maeneo ambapo shughuli za ujenzi zinaendelea katika mataifa ya bara la Afrika.

Suala lingine ni  suala muhimu la shule za kundi lililotaka kupindua zipo chini ya uongozi wa shirika hilo la Uturuki. Shule hizo zinapatikana nchini  seriakali Uturuki. Kundi la FETÖ  shule zake ambazo zilikuwa zimefunguliwa katika mataifa kadhaa zimekwishakabidhiza uongozi wa shirika la Maarif.

Shule takriban 88 zinapatikana nchini Tunisia, Tanzania, Somalia, Sierra Leone, Sudan, Senegal, Sao Tomé  na Prinsip, Niger, Mali, Chad, Mauritania, Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo , Guinea, Gambia na  Jibuti.

Uchambuzi wa Can ACUN  mtafiti na mtunzi katika shitika la utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii.Habari Zinazohusiana