Shambulizi mjini Bamako nchini Mali

Shambulizi mjini Bamako nchini Mali

Shambulizi mjini Bamako nchini Mali

 

Shambulizi dhidi ya hoteli moja  mjini Bamako yapelekea watu wawili kufariki na wengine kadhaa kutekwa.

Taarifa nyingine imefahamisha kuwa mateka zaidi ya 20 bado wameshikwa mateka.

Idadi hiyo imetolewa  na vyanzo vya polisi ya kulinda usalama.

Mioıngoni mwa watu hao wawili waliofariki, raia mmoja mwenye asili ya Gabon na Afaransa ameuawa.

Vyanzo hivyo vimezidi kufahamisha kuwa kikosi maalumu kilicho endesha operesheni kilifaulu kuwaokoa baadhi ya mateka.Habari Zinazohusiana